📘 ❞ MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU ❝ كتاب ــ قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام

كتب إسلامية باللغة السواحلية - 📖 كتاب ❞ MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU ❝ ــ قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام 📖

█ _ قسم البحوث التربوية جامعة الإسلام 0 حصريا كتاب ❞ MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU ❝ 2024 UISLAMU: Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na amani ziwe juu ya Imamu Mitume, Nabii wetu Muhammad, na jamaa zake, na Masahaba wake wote Ama baada:_ UISLAMU:_ kushuhudia kuwa hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na Muhammad (rehema amani za Mwenyezi yake) ni mjumbe Mungu, (kushuhudia) kwa moyo, ulimi, na viungo Na (huo Uislamu) unajumuisha kuamini nguzo sita za Imani kwa kutekeleza tano Uislamu, na nguzo mbili Ihsani Na risala mwisho miongoni mwa Mwenyezi Mungu, ambayo ameiteremsha Mwenyewe Allah mwisho wa manabii mitume wake, Mtume Muhammad bin Abdillah juu yake) ndiyo dini haki ambayo hatakubali dini nyingine isiyokuwa uislamu, na hakika ameifanya dini ya uislamu kuwa nyepesi rahisi, hakuna ugumu au uzito ndani yake, wala tabu, hakuwalazimisha (Allah) wenye kuingia hiyo mambo wasiyo yaweza, wala hakuwakalifisha kwa yale wasiyoweza Na msingi ni TAUHID (kumpwekesha katika ibada), alama yake ni ukweli, imezungukwa uadilifu, na ndiyo usimamizi haki, roho yake (dini hii) huruma, tukufu ambayo huwaongoza waja (watu) kwenye kila jambo lenye manufaa katika dini yao dunia yao, na huwatahadharisha kutokana lenye madhara maisha yao, Na Mungu amerekebisha kwayo itikadi tabia, na akarekebisha duniani na Akhera, akaziunganisha kwayo nyoyo zilizo tafautiana, matamanio mbali mbali, akazisafisha na sifa upotofu, akazielekeza kwenye haki, akaziongoza kwenye njia iliyo nyooka iliyo sawa kamilika isiyokuwa kasoro habari zake zote, hukumu zote, haikuelezea ila ukweli haikuhukumu ila kheri miongoni mwa itikadi sahihi, vitendo vilivyo sawa, na tabia bora, desturi hali ujumbe Uislamu unalengo la kutimiza mambo yafuatayo: ~ Kuwajulisha watu mola wao na muumba majina mazuri ambayo hakuna mwenye hayo isipokuwa yeye tu, hali ya ambazo mwenye kufanana nae hizo, na vitendo vyake vya hekima ambavyo hana mshirika hivyo, na kustahiki kwake (majina hayo, hzo, hivyo) ambako hana كتب إسلامية باللغة السواحلية مجاناً PDF اونلاين مكتبة : تشمل جميع الكتب الاسلامية التى تخص اللغه وتشمل : Vitabu Vitabu Maajabu Sayansi Kurani Quran Ahl al Sunnat Jama'aa Hadith Zaidi Siras Utabiri Nabii Vitabu Shia Matempo Kiisilamu Historia Kiislamu Jihad Fiqh Uislamu: Kuna kiisraeli, Kiungu isiyo Mungu, kulingana kuna mmoja tu ambaye Muhammad ndiye Mjumbe la pili kubwa ulimwenguni Nguzo Uislamu: Nguzo Uisilamu ibada kuu jamii Wasunni, iliyoshirikiwa Waislamu Shiite, ingawa misingi kuanzisha Sunni kama ifuatavyo Mawazo imani Kiislamu: Kulingana Kurani, wanamuamini Malaika zake, vitabu vyake, Mitume Siku Mwisho Kwa kuongezea, wanaimarisha haki hatima, vile nabii hadith aliiambia wakati alisema ni: "Mwamini amini malaika siku inayofuata uamini wema uovu Kufanya hivyo " Ni pamoja pia Imamat mali dini الإسلام : يعد أساس الاسلام هو الإيمان بالإله الواحد وهو الله أنه دائم حي لا يموت ولا يغفل عدل يظلم شريك له ند والد ولد رحمن رحيم يغفر الذنوب ويقبل التوبة يفرق بين البشر إلا بأعمالهم الصالحة خالق الكون ومطلع كل شيء فيه ومتحكم به وفي المعتقد الإسلامي؛ ليس كمثله أي مغاير تمامًا لكل مخلوقاته وبعيد عن تخيلات لهذا فلا يوجد صورة أو مجسم إنما يؤمن المسلمون بوجوده ويعبدونه دون أن يروه كما واحد أحد يرفض عقيدة الثالوث المسيحي بوجود ثلاثة أقانيم فضلاً رفض ألوهية المسيح الذي بشر رسول العقيدة الإسلامية ومن أهم السور التي يستدل المسلمين بها ذلك سورة الإخلاص: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ الصَّمَدُ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا يقول بعض الباحثين كلمة "الله" العربية المستخدمة إسلاميًا للدلالة ذات الرب هي مكونة من قسمين: "الـ" و"إله" بينما أخرون جذورها آرامية ترجع لكلمة "آلوها" ولله عدة أسماء وردت القرآن وهناك تسعة وتسعين اسمًا اشتهرت عند السنة باسم "أسماء الحسنى" وهي مدح وحمد وثناء وتمجيد لله لسان الرسل وفق السني ومنها: الملك القدّوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبّار القابض الباسط الوكيل الأول الرؤوف ذو الجلال والإكرام وغيرها والحقيقة هناك خلاف حول عدد الأسماء الحسنى علماء وخلاف ذاتها البعض رجح عددها وفقًا لحديث أورده البخاري الرسول محمد قال: "إن مئةً واحدًا أحصاها دخل الجنة

إنضم الآن وتصفح بدون إعلانات
MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU
كتاب

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU

ــ قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU
كتاب

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU

ــ قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام

عن كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU:
Kila sifa njema ni zake Mwenyezi
Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na
amani ziwe juu ya Imamu wa Mitume,
Nabii wetu Muhammad, na jamaa zake,
na Masahaba wake wote.
Ama baada:_
UISLAMU:_ ni kushuhudia kuwa
hapana Mola apasae kuabudiwa kwa
haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na
Muhammad (rehema na amani za
Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ni
mjumbe wa Mwenyezi Mungu,
(kushuhudia) kwa moyo, na kwa ulimi,
na kwa viungo.

Na (huo Uislamu) unajumuisha
kuamini nguzo sita za Imani kwa
kutekeleza nguzo tano za Uislamu, na
nguzo mbili za Ihsani.
Na (huo Uislamu) ni risala ya mwisho
miongoni mwa risala za Mwenyezi
Mungu, ambayo ameiteremsha
Mwenyewe Allah kwa mwisho wa
manabii wake na mitume wake, Mtume
Muhammad bin Abdillah (rehema na
amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu
yake).
Na (huo Uislamu) ndiyo dini ya haki
ambayo Mwenyezi Mungu hatakubali
dini nyingine isiyokuwa uislamu, na
hakika ameifanya Mwenyezi Mungu dini
ya uislamu kuwa nyepesi na rahisi,
hakuna ugumu au uzito ndani yake, wala
tabu, hakuwalazimisha (Allah) wenye
kuingia ndani ya dini hiyo mambo
wasiyo yaweza, na wala hakuwakalifisha
kwa yale wasiyoweza.

Na ni dini ambayo msingi wake ni
TAUHID (kumpwekesha Mwenyezi
Mungu katika ibada), na alama yake ni
ukweli, na imezungukwa na uadilifu, na
ndiyo usimamizi wa haki, na roho yake
(dini hii) ni huruma, na ni dini tukufu
ambayo huwaongoza waja (watu)
kwenye kila jambo lenye manufaa katika
dini yao na dunia yao, na
huwatahadharisha kutokana na kila lenye
madhara katika dini yao na maisha yao,
Na ni dini ambayo Mwenyezi Mungu
amerekebisha kwayo itikadi na tabia, na
akarekebisha kwayo maisha ya duniani
na Akhera, na akaziunganisha kwayo
nyoyo zilizo tafautiana, na matamanio
mbali mbali, akazisafisha kutokana na
sifa za upotofu, na akazielekeza kwenye
haki, na akaziongoza kwenye njia iliyo
nyooka.
Na ni dini iliyo sawa iliyo kamilika
isiyokuwa na kasoro katika habari zake

zote, na hukumu zake zote, haikuelezea
ila ukweli na haki, na wala haikuhukumu
ila kwa kheri na uadilifu, miongoni mwa
itikadi sahihi, na vitendo vilivyo sawa,
na tabia bora, na desturi za hali ya juu.
Na ujumbe wa Uislamu unalengo la
kutimiza mambo yafuatayo:
~ Kuwajulisha watu mola wao na
muumba wao kwa majina yake mazuri
ambayo hakuna mwenye majina hayo
isipokuwa yeye tu, na sifa zake za hali
ya juu ambazo hakuna mwenye
kufanana nae katika sifa hizo, na
vitendo vyake vya hekima ambavyo
hana mshirika kwenye vitendo hivyo,
na kustahiki kwake (majina hayo, na
sifa hzo, na vitendo hivyo) ambako
hana mshirika ndani yake.
الترتيب:

#3K

1 مشاهدة هذا اليوم

#57K

15 مشاهدة هذا الشهر

#31K

8K إجمالي المشاهدات
عدد الصفحات: 24.
المتجر أماكن الشراء
قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام ✍️ المؤلف
مناقشات ومراجعات
QR Code
أماكن الشراء: عفواً ، لا يوجد روابط مُسجّلة حاليا لشراء الكتاب من المتاجر الإلكترونية